Would you like to inspect the original subtitles? These are the user uploaded subtitles that are being translated:
1
00:00:00,400 --> 00:00:03,600
Wakati mwingine kwenye maisha
yako ya kila siku.
2
00:00:04,360 --> 00:00:11,175
Amka mshukuru Mungu
kwa kila mtihani, changamoto, matatizo,
3
00:00:11,200 --> 00:00:16,200
vikwazo ambavyo unakutana nazo
katika maisha yako ya kila siku.
4
00:00:17,240 --> 00:00:21,240
Mungu nakushukuru sana kwa sababu
ninastahili.
5
00:00:21,880 --> 00:00:26,975
Kuna zile ambazo nimesababisha mimi
mwenyewe na kuna zile ambazo
6
00:00:27,000 --> 00:00:28,560
wamesababisha watu wengine.
7
00:00:29,200 --> 00:00:35,215
Lakini yote kwa pamoja ninakushukuru sana
na ninaamini kwamba ninastahili
8
00:00:35,240 --> 00:00:38,320
ndio maana ninapitia ninayopitia.
9
00:00:39,320 --> 00:00:44,175
Lakini wakati huo huo, unapaswa ukumbuke
kwamba haijalishi unapitia mambo makubwa
10
00:00:44,200 --> 00:00:48,175
au madogo kiasi gani,
kuna watu wameshapitia.
11
00:00:48,200 --> 00:00:49,000
Zaidi ya hayo.
12
00:00:51,400 --> 00:00:54,375
Kuna watu wanapitia matatizo makubwa mno
13
00:00:54,400 --> 00:00:59,080
kwenye maisha yao hata theluthi haujafika.
14
00:01:01,840 --> 00:01:04,535
Kuna watu ni wagonjwa toka walivyozaliwa
15
00:01:04,560 --> 00:01:09,680
mpaka sasa ni walemavu, hawana viungo,
16
00:01:10,560 --> 00:01:16,240
hawana macho,
mikono yote miwili, miguu yote.
17
00:01:17,840 --> 00:01:21,760
Kuna watu wanapitia mengi
kuliko ambayo wewe una yapitia.
18
00:01:24,200 --> 00:01:28,935
Ni sahihi, ni sahihi, najua yanaumiza
na yupo kwenye wakati ambao unaona
19
00:01:28,960 --> 00:01:31,200
kabisa thamani yako haipo hapa duniani.
20
00:01:31,680 --> 00:01:37,000
Kuna muda unahisi kama Mungu amekuacha
na kuna muda unatamani hata dunia hii
21
00:01:37,240 --> 00:01:41,200
chimba shimo ndefu unukie
na upotee kabisa.
22
00:01:41,680 --> 00:01:47,920
Lakini unapaswa ukumbuke kwamba
kila kinachotokea kwenye maisha yako
23
00:01:48,880 --> 00:01:55,360
kuna namna kuna mazingira yaliyopelekea
kitokee ni wewe au si wewe.
24
00:01:56,320 --> 00:02:01,480
Lakini yote kwa yote yanastahili
kuwa sehemu ya maisha yako.
25
00:02:05,480 --> 00:02:06,640
Kwa hiyo amka mwambie Mungu.
26
00:02:06,665 --> 00:02:09,920
Nakushukuru sana kwa
yote ambayo ninayopitia.
27
00:02:10,560 --> 00:02:13,400
Ninakuomba nipe nguvu,
28
00:02:15,320 --> 00:02:19,040
roho, nguvu na ujasiri wa kuweza kushinda
29
00:02:19,600 --> 00:02:22,120
kila kinachotokea kwenye maisha yangu.
30
00:02:23,120 --> 00:02:26,960
Kwa sababu haijalishi utamuomba Mungu
akusaidie kila saa,
31
00:02:27,400 --> 00:02:30,520
kumbuka kuna watu wengi wanahitaji
msaada wa Mungu kuliko wewe.
32
00:02:30,800 --> 00:02:37,120
Wapo wengi sana
duniani tupo binadamu wengi sana.
33
00:02:37,520 --> 00:02:41,800
Mataifa na mataifa na kila mmoja
kwa namna yake anamuomba Mungu.
34
00:02:44,640 --> 00:02:47,640
Mpaka Mungu atufikishe unahisi ni lini?
35
00:02:48,280 --> 00:02:50,560
Ndio pale ambapo watu
huwa wanafanya maombi.
36
00:02:50,600 --> 00:02:52,520
Wanaona Mungu anachelewa kuwajibu nao.
37
00:02:53,440 --> 00:02:56,000
Unapaswa utatue changamoto zako.
38
00:02:56,240 --> 00:03:00,480
Mungu si kwamba haoni lakini
kuna foleni ndefu mno.
39
00:03:02,360 --> 00:03:08,240
Unachopaswa Kuwa nacho kama kinga
na ngao ni silaha ya ujasiri.
40
00:03:08,600 --> 00:03:09,560
Roho ngumu.
41
00:03:12,440 --> 00:03:16,695
Hiyo pekee inatosha kuweza kukabiliana na
kila kinachotokea kwenye maisha yako
42
00:03:16,720 --> 00:03:18,440
kwa sababu kwanza changamoto haziishi.
43
00:03:18,680 --> 00:03:22,760
Haijalishi
leo ukitatua hili, kesho litakuja lingine,
44
00:03:23,400 --> 00:03:27,135
ukitatua hili mtondogoo litakuja lingine
na wakati mwingine ukubwa wa
45
00:03:27,160 --> 00:03:29,240
changamoto ni ukubwa wa mafanikio yako.
46
00:03:29,600 --> 00:03:34,160
Kadiri unavyozidi kuwa makubwa,
ndivyo na ukubwa wa changamoto unatokea.
47
00:03:34,280 --> 00:03:38,815
Utamwomba Mungu kazi utapata changamoto za
kazi, utamuomba Mungu mtaji, utajiri
48
00:03:38,840 --> 00:03:45,680
utapata changamoto za kujiajiri
ukasome uenda labda chuo kikuu au dereva.
49
00:03:45,720 --> 00:03:48,360
Levolosi anataka utakutana na changamoto
zake kule
50
00:03:49,600 --> 00:03:54,120
utamwomba Mungu uhame nchi hii uende nchi
nyingine utakutana na changamoto mpya.
51
00:03:56,240 --> 00:03:58,775
Utamwomba Mungu ndoa utakutana
na changamoto za ndoa.
52
00:03:58,800 --> 00:04:04,495
Ukimuomba watoto, utapata changamoto za
watoto yani hakuna namna ipo siku ambayo
53
00:04:04,520 --> 00:04:07,855
utasema kwamba
nothing happened, hakuna kilichotokea
54
00:04:07,880 --> 00:04:09,580
kwenye maisha yangu, yaani kwamba.
55
00:04:11,080 --> 00:04:12,920
Hakuna ladha ya maisha dizaini hiyo.
56
00:04:16,320 --> 00:04:20,360
Kwahiyo unapaswa kuelewa kwamba changamoto
ni sehemu ya maisha ya kila siku
57
00:04:21,040 --> 00:04:24,080
na huwezi kila changamoto
unayoipata ukimbilie kwa Mungu.
58
00:04:24,440 --> 00:04:27,640
Tayari Mungu amekupa akili
na uwezo wa kufikiri.
59
00:04:27,920 --> 00:04:33,080
Unapaswa kuitumia akili yako kuweza
kupata majibu sahihi ya changamoto zako.
60
00:04:38,080 --> 00:04:42,640
Kwa sababu wapo wanaostahili zaidi
na lazima ulitambua hilo.
61
00:04:43,240 --> 00:04:46,720
Muombe Mungu.
Mungu Baba, nipe ujasiri, Nipe roho ngumu
62
00:04:48,480 --> 00:04:51,280
imani ya kuweza kukabiliana na kila
63
00:04:51,320 --> 00:04:53,015
kinachokuja kwenye maisha yangu.
64
00:04:53,040 --> 00:04:57,760
Nipe nguvu kwa sababu ninastahili
kupitia haya na nitashinda.
65
00:04:59,720 --> 00:05:04,640
Mimi si kitu pasi na haya yanayotokea,
lakini nakuahidi kwa akili ulizonipa.
66
00:05:04,680 --> 00:05:09,000
Kwa ufahamu uliyonipa, ndio maana nime
tofautiana na aina nyingine za wanyama.
67
00:05:11,440 --> 00:05:15,040
Nitazitumia akili na
zitatatua changamoto zangu.
68
00:05:16,400 --> 00:05:17,960
Hakika Mungu atafurahi.
69
00:05:18,000 --> 00:05:19,280
Yaani kwa sasa Mungu anafurahi.
70
00:05:19,360 --> 00:05:25,200
Naona kabisa huyu binadamu wangu
anatumikia mfano wa uumbaji nilio Muumba
71
00:05:26,240 --> 00:05:31,415
na ni rahisi hata Mungu kusaidia, lakini
pia itakujengea uwezo wa kuifanya akili
72
00:05:31,440 --> 00:05:38,240
yako kuweza kufikiri na kutafuta suluhu
mara kwa mara kuliko kuwa tegemezi.
73
00:05:39,080 --> 00:05:43,775
Unaposema Mungu yupo atanisaidia
nitamlinda Mungu, yaani ni kama vile
74
00:05:43,800 --> 00:05:46,680
jua na unasubiria Mungu atende itokee.
75
00:05:47,160 --> 00:05:51,055
Ni sahihi kabisa, Mungu anapaswa kutenda
lakini tayari uko na akili
76
00:05:51,080 --> 00:05:52,855
timamu, yaani uko full package.
77
00:05:52,880 --> 00:05:56,600
Umesha umbwa na akili uwezo wa kufikiri
na kuweza kutatua changamoto zako.
78
00:05:56,920 --> 00:05:58,240
Kitu pekee ni kuzitumia.
79
00:06:00,040 --> 00:06:03,880
Sawa, Mungu atakusaidia kwa namna yake,
lakini wewe kwanza tayari amesha kupa,
80
00:06:04,440 --> 00:06:08,520
yaani ni sawa umpe mtoto
andazi halafu bado alie.
81
00:06:09,120 --> 00:06:10,080
Anasikia njaa.
82
00:06:11,480 --> 00:06:13,800
Wakati ukimwangalia yule mtoto
tayari ana meno na ni mkubwa.
83
00:06:13,825 --> 00:06:15,240
Mlete tena miaka miwili mitatu.
84
00:06:15,280 --> 00:06:18,920
Utajisikiaje uko na andazi mkononi,
unapaswa ule
85
00:06:20,000 --> 00:06:21,575
Mungu yuko na akili ameshakufa.
86
00:06:21,600 --> 00:06:25,175
Lakini unapaswa tukae chini utafakari
ufikirie ujue unatokea
87
00:06:25,200 --> 00:06:26,160
wapi unaingilia wapi.
88
00:06:27,400 --> 00:06:31,215
Sasa unakuta kuna watu changamoto ndogo
sana analia, anasema Mungu yupo
89
00:06:31,240 --> 00:06:34,935
atanisaidia, siye na analalamika
akichelewa kupata majibu.
90
00:06:34,960 --> 00:06:37,720
Anasema Mungu ameniacha
Mungu umenisahau leo.
91
00:06:40,680 --> 00:06:42,480
Kwa hiyo anza kuanzia leo.
92
00:06:43,560 --> 00:06:47,160
Kitu pekee ambacho unapaswa kila dakika
kila sekunde kila saa kila unapokutana na
93
00:06:47,185 --> 00:06:52,800
mtihani mwambie tu Mungu huu nitashinda
naomba nipatie nguvu, ujasiri, roho, nguvu
94
00:06:52,840 --> 00:06:57,055
ya kuweza kukabiliana nalo na litapita na
likija lingine nitapambana
95
00:06:57,080 --> 00:06:58,400
nalo na litapita.
96
00:06:58,440 --> 00:07:04,095
Kitu pekee nipe nguvu roho ngumu, Ujasiri
wapo wanaostahili msaada wako wa
97
00:07:04,120 --> 00:07:06,440
moja kwa moja tafadhali wakumbuke.
8431
Can't find what you're looking for?
Get subtitles in any language from opensubtitles.com, and translate them here.